Taarifa Mpya kutoka TFF, ni kuhusu mechi ya Simba vs Singida FG

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesisitiza kuwa klabu za Simba na Singida FG hazitaruhusiwa kutumia wachezaji wake wa kigeni katika michuano ya Ngao ya Jamii kama hazitawasilisha vibali


Taarifa iliyotolewa na TFF mapema leo, imebainisha kuwa Simba na Singida FG ambazo zitachuana baadae leo katika mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii, hazijawasilisha vibali


Timu hizo zinapaswa kuwasilisha vibali vya nyota wao wa kigeni ili kuweza kuwatumia katika mchezo huo kumbuka mechi hii utaweza kuitazama live bure kwenye app yetu kama huna app yetu BOFYA HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post