Singida FG yampa 'Thank You' Pluijm - EDUSPORTSTZ

Latest

Singida FG yampa 'Thank You' Pluijm

 Hans De Pluijm

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Singida Fountain Gate imeachana na Kocha Mkuu Hans van der Pluijm raia wa kwa Uholanzi ambaye aliongeza mkataba mpya ikimaanisha mwaka mmoja alipomaliza Juni 30.


Taarifa imetolewa na Klabu hiyo ni kuwa kocha huyo amejiuzulu na timu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule


Pluijm aliyeiwezesha timu hiyo kumaliza nafasi ya nne na kufuzu michuano ya CAF na kufanikiwa kufuzu hatua ya kwanza Kombe la Shirikisho Afrika


SFG imetinga hatua hiyo baada ya kushinda mabao 4-1 dhidi ya JKU mchezo wa kwanza na kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa wapinzani wao.


TAARIFA KWA UMMA


Kocha wetu Hans van der Pluijm hatutaendelea nae. Timu yetu itakuwa chini ya kocha Msaidizi Mathias Lule mpaka pale itakapoamuliwa vinginevyo. ---


PRESS RELEASE


RE; COACH HANS VAN DER PLUJM RESIGNATION


On behalf of the Board of Directors, management, sponsors, stakeholders and membership of SINGIDA Fountain Gate FC, I wish to announce the resignation of Head Coach Mr Hans Van de Pluijm.


Mr Hans has been with the club for some time now helping the team achieve big milestones. However, as per this announcement, Mr Hans has decided to resign on reasons attached to availing more time for his personal undertaking.


Mr Hans will forever be part of the club’s history having recorded a historic achievement for the club last season finishing in the TOP 4, and qualifying the club for the current CAF Confederations Competition in which recently he has helped the team to advance to the 2nd round in the competition.


We are profusely indebted to his service to the club, the commitment and professionalism with which he always carried himself throughout his many coaching spells with us.


In the meantime, the Assistant Coach Lule Mathias assumes the Caretaker Coach role until the club makes further announcements.


We thank Mr Hans and wish him well for the future.


Olebile Sikwane Chief Executive Officer.



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz