Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simón Happygod Msuva amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya JS Kabylie ya Algeria kutoka Al Qadisiya ya Saudi Arabia.
Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mshambuliaji wa Kimataifa wa Tanzania, Simón Happygod Msuva amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya JS Kabylie ya Algeria kutoka Al Qadisiya ya Saudi Arabia. Msuva alikuwa akiwaniwa na Vigogo wa Soka la Tanzania vilabu vya Simba na Yanga lakini akaamua kuibukia Algeria taarifa ambayo hapo awali ilielezwa na Baba yake.
Post a Comment