SIMBADAY KESHO: Mageti kufunguliwa saa mbili asubuhi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, amesema kwa mashabiki ambao hawahitaji usumbufu kesho kwenye tamasha la Simba Day, wafike mapema kwani mageti yatafunguliwa saa mbili asbuhi.


Amesema wamefanya hivyo ili kuzingatia mashabiki wasipate usumbufu wa mchana na kusema, burudani zitaanza asubuhi hivyo ukiingia muda huo utaanza kuinjoi burudani.


"Wale watakaokuwa kwenye ibada kwa kuwa kesho ni Jumapili, wakitoka tu pale chap wanaingia kuendelea na burudani. Mageti yanafunguliwa mapema ili kuweza kupata muda mzuri wa watu kuingia bila kupata usumbufu," alisema Ahmed.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post