Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Simba dhidi ya Coastal Union huenda ukapigwa Ijumaa, August 25 katika uwanja wa Uhuru
Mchezo huo haukupangiwa tarehe awali kutokana na muingiliano wa ratiba na mechi za Kimataifa
Mwezi Septemba ligi itasimama kupisha kalenda ya CAF mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023
Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Simba imewasiliasha ombi kwa Bodi ya Ligi kuomba mchezo huo uchezwe kabla ya ligi kusimama kwakuwa timu zote Simba na Coastal Union hazina ratiba ya yoyote ya mechi wiki hii
Baada ya kalenda ya Kimataifa, Simba inakabiliwa na mechi za raundi ya kwanza ligi ya mabingwa ambazo zitafuatiwa na Super League inayotarajiwa kuanza Oktoba 20 na kufikia tamati Novemba 08
Post a Comment