Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Simba itacheza michuano mikubwa miwili barani Afrika ambayo ni Ligi ya Mabingwa na African Football league mashindano yatakayofanyika kuanzia Oktoba 20 mpaka Novemba 08
Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema pamoja na kuimarika kwa Ally Salim wakati huu Aishi Manula (TZ 1) akiwa ni majeruhi, kuna ulazima wa kuongeza golikipa mwingine licha ya kukamilisha usajili wa Charles Abel kutoka KMC
Simba inahusishwa na mlinda lango wa AS FAR Rabat, Ayoub Lakred ambaye anatajwa kuwa mbioni kumalizana na wababe hao wa soka ukanda wa Afrika Mashariki na kati
Post a Comment