Ronaldo uso kwa uso na wababe wa Simba Sc

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Raja Casablanca kutokea nchini Morocco yafanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kwenye mashindano ya Arab Club Champions Cup ambapo rasmi watakutana na Al Nassr ya Saudi Arabia.


Kipindi Al Nassr ikicheza dhidi ya Raja Casablanca pia Al Ittihad itashuka dimbani dhidi ya Al Hilal kwenye hatua ya robo fainali ya mashindano ya Arab Club Champions Cup.


Raja Casablanca vs Al Nassr


Al Hilal vs Al Ittihad.


Ikumbukwe kuwa, katika Kundi C la michuano ya Kombe la Mabingwa Afrika, Raja ilipangwa na Simba Sc ya Tanzania ambapo Raja iliichapa Simba nyumbani na ugenini na kumaliza kinara wa kundi hilo ikiwa na alama 16 lakini aliondolewa kwenye hatua ya Robo Fainali na Al Ahly.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post