Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Peter Banda (22) amejiunga na klabu ya Nyasa Big Bullet ya nyumbani kwao Malawi akitokea Simba SC kwa mkataba wa miezi minne.
Peter Banda (22) amejiunga na klabu ya Nyasa Big Bullet ya nyumbani kwao Malawi akitokea Simba SC kwa mkataba wa miezi minne. Mkataba huo wa muda mfupi ni kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kupata VISA kwa Mchezaji huyo ili kujiunga na klabu kutokea nchini Ukraine.
Post a Comment