Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Rais wa heshima klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema katika dirisha hili la usajili, ametoa takribani Tsh Bilioni 3 ili kufanikisha usajili wa wachezaji mbalimbali
Mo ametoa angalizo kwa wapenzi na wanachama wa Simba kuwa wasije kupotoshwa kuhusu ushiriki wake katika michakato ya usajili msimu huu
Mo amewajibu wale wanaosambaza uongo kuwa tajiri huyo amejiweka pembeni baada ya mchakato wa mabadiliko kucheleweshwa
Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotoshaji
— Mohammed Dewji MO (@moodewji) August 10, 2023
Post a Comment