Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Ni baada ya Power Dynamos kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya African Stars na hivyo kufuzu raundi ya kwanza kwa faida ya bao la ugenini
Mchezo wa kwanza utapigwa Septemba 15 huko Zambia na mchezo wa marudiano kupigwa Septemba 29 jijini Dar es salaam
Simba na Power Dynamos zilichuana kwenye Tamasha la Simba Day, Wekundu wa Msimbazi wakiibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa
Timu hizo zinakutana tena kuwania tiketi ya kutinga hatua ya makundi
Post a Comment