MATOKEO Yanga vs Simba Leo 13 August 2023

 

MATOKEO Yanga vs Simba Leo 13 August 2023,MATOKEO Yanga vs Simba Leo 13 August 2023, Matokeo Yanga vs Simba Leo 13 August 2023,Yanga vs Simba Leo 2023 Fainali Ngao ya Jamii 2023, Yanga vs Simba SC,Yanga vs Simba Live Leo,Yanga SC vs Simba Leo, Matokeo ya Yanga dhidi ya Simba leo,Yanga SC vs Simba LIVE leo,Simba vs yanga results, Simba vs yanga live,Simba vs Yanga 2023,Simba Sc Vs Yanga Sc - Derby Ya Kariakoo, Uwanja Wa Mkwakwani | Video,SIMBA SC VS YANGA SC - LIVE, simba vs yanga leo,simba vs yanga 2023,simba vs yanga logo, Yanga vs simba results,Yanga vs Simba leo,simba vs yanga leo, Yanga vs simba live.

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

Klabu ya Simba SC imefuta uteja wa miaka miwili mfululizo baada ya kuibuka mabingwa wa ngao ya Jamii 2023 wakiichapa Yanga kwa mikwaju ya penati 3-1, Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga..


Mchezo huo iliamuliwa kwa Penati baada ya kumalizika kwa sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 za mchezo.


Mlinda mlango wa Simba , Chipukizi Ally Salim ameibuka shujaa akipangua mikwaju mitatu ya penati iliyopigwana Khalid Aucho, Pacome zouazoua na Yao Attouhula.


Kwa upande wa Simba Saido ntibazonkiza na Moses Phiri walikosa mikwaju yao ya Penati.

BOFYA HAPA KUDOWNLOAD Kudownload App yetu ili uweze Kutazama Mubashara Kiganjani Mwako,

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post