Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Yanga imetinga fainali ya Ngao ya Jamii kibabe kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam Fc katika mchezo wa nusu fainali uliopigwa uwanja wa Mkwakwani
Yanga ilihitaji dakika 45 za kipindi cha pili kumaliza mchezo kwa mabao mawili yaliyofungwa na Stephane Aziz Ki na Clement Mzize
Ilikuwa mechi ya upande mmoja katika kipindi cha pili Yanga ikifanya 'sako la nyani' langoni kwa Azam Fc
Pengine Azam Fc washukuru wamefungwa mabao mawili tu kwani ni mechi ambayo wangeweza kuondoka na mzigo wa mabao
Usikose Kuitazama mechi Ya Simba vs Singida FG LIVE Kiganjani Mwako kupitia App yetu BUREEE kabisa Bofya HAPA Kudownload ili uweze Kutazama Mubashara Kiganjani Mwako Popote Duniani,
Post a Comment