Matokeo Yanga vs ASAS Leo 20 August 2023

 


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

ASAS DJIBOUT  0  VS YANGA 2

DAKIKA : FT

Yanga imeweka mguu mmoja ndani kwenye raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Asas Fc katika mchezo uliopigwa uwanja wa Azam Complex


Ilikuwa mechi ya upande mmoja kwa muda mwingi, ilikuwa ni suala la Yanga itafunga mabao mangapi


Stephane Aziz Ki alifunga bao la kwanza kwenye dakika ya 23 akimalizia krosi ya Joyce Lomalisa


Bao la pili lilifungwa na Kennedy Musonda kwa shuti la mguu wa kushoto akiwa ndani ya eneo la hatari


Mlinda lango wa Asas Fc alifanya kazi kubwa ya kuondoa michomo mingi katika eneo lake la hatari, pengine mambo yangekuwa mabaya zaidi upande wao


Yanga inarejea kujipanga kwa ajili ya mchezo wa marudiano ambao utapigwa August 28 katika uwanja wa Azam Complex


Kabla ya mchezo huo, Yanga inakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC ambao utapigwa Jumatano, hapohapo Azam Complex

Mechi ilikuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua BOFYA HAPA


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post