Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
SIMBA 2 VS DODOMA JIJI 0
DAKIKA : FT
Mnyama ameunguruma uwanja wa Uhuru akiibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Jean Baleke ameendeleza kasi yake ya kupachika mabao msimu huu, leo akifunga bao lake la pili katika mchezo wa pili mfululizo
Ni ushindi ambao umeipeleka Simba kileleni mwa msimamo wa ligi baada ya kufikisha alama sita
Mechi ilikuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua BOFYA HAPA
Post a Comment