Matokeo Ya Azam Vs Kitayose NBC Premier League 2023/24

 Matokeo Ya Azam Vs Tabora United NBC Premier League 2023/24

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Matokeo Ya Azam Vs Tabora United NBC Premier League 2023/24.

Matokeo Ya Azam Vs Tabora United NBC Premier League 2023/24,Matokeo ya Azam leo vs Tabora United 2023,Live Score Azam vs Tabora United 2023,Matokeo ya Azam na Tabora United leo,Matokeo ya Azam Leo,Kikosi cha Azam vs Tabora United 2023,Kikosi cha Tabora United vs Azam fc 2023.

AZAM FC 4 VS KITAYOSE 0

FT


Afisa Habari wa Azam Fc Hasheem Ibwe amesema wapinzani wao watarajie kukutana na balaa kwenye ligi na mashindano mengine msimu huu


Baada ya kutofanya vizuri kwenye michuano ya Ngao ya Jamii kwa kumaliza nafasi ya tatu ikipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida FG, wana rambaramba hao wamehamishia nguvu zao kwenye ligi ambapo leo watachezana Kitayosce Fc (Tabora United)


Ibwe amesema kuwa wapo ambao walikuwa wakisema kuwa timu hiyo haina ubora lakini kupitia mchezo wa pili waliona picha halisi


"Kupoteza mchezo wa kwanza wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga haina maana kwamba hatuna kikosi imara. Bahati nzuri kulikuwa na mechi ya pili iliyokuja na picha tofauti na waliokuwa wanabeza wameona ubora uliopo"


"Tunahitaji kufanya vizuri kwenye mashindano ambayo tunashiriki hilo lipo wazi tutapambana kufanya hivyo na mashabiki waendelee kuwa pamoja nasi kwenye kila hatua," alisema Ibwe


Kabla ya mchezo wa dhidi ya Kitayosce Fc, leo kuanzia saa 8:00 mchana Azam Fc wana jambo lao katika uwanja wa Azam Complex

mechi hii itakuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua Bofya hapa Sasa kudownload

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post