Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc jioni ya leo majira ya saa 10 watashuka uwanja wa Manungu, Turiani kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Huu ni mchezo wa kwanza wa ligi kuu kwa Simba na Mtibwa Sugar msimu huu 2023/24
Mechi hii itakuwa Live kwenye app yetu BOFYA HAPA SASA KUIDOWNLOAD app yetu Bure pia app bado hatujaiweka playstore.
Post a Comment