Konkoni afunga Yanga ikiichapa Friends Rangers 6-1

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kikosi cha Yanga leo asubuhi kilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers katika uwanja wa Avic Town


Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 6-1, mshambuliaji Hafiz Konkoni akifunga moja ya mabao ya Yanga katika mchezo huo


Mabao mengine yalifungwa na Crispine Ngushi aliyepachika mabao mawili, Clement Mzize, Aziz Ki na Pacome Zouzoua


Kabla ya kuelekea mkoani Tanga, Yanga itacheza mechi nyingine ya kirafiki dhidi ya JKU hapohapo Avic Town


Kikosi cha Yanga kilichoanza


1. Metacha Mnata


2. Yao Yao


3. Nickson Kibabage


4. Gift Fred


5. Bakari Nondo Mwamnyeto


6. Khalid Aucho


7. Crispine Ngushi


8. Mudathir Yahya


9. Clement Mzize


10. Aziz Ki


11. Maxi Nzengeli

Kumbuka mechi zote za ligi kuu tz bara zitakuwa LIVE Bure kwenye app yetu bofya hapa kuipakua ili usipitwe

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post