Kikosi cha Yanga vs KMC Leo 23 August 2023 NBC Premier League


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Leo August 23 2023, Yanga itashuka uwanja wa Azam Complex kuikabili KMC katika mchezo wa ligi kuu ya NBC


Huu utakuwa mchezo wa kwanza wa Yanga katika ligi kuu ya NBC msimu huu

Kikosi Cha Yanga Leo

 


Uongozi wa Yanga umetangaza viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa saa 1 usiku


VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP B ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post