Kikosi cha Simba vs Mtibwa Sugar NBC Premier League Leo 17 August 2023


 Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


Klabu ya Mtibwa Sugar imethibitisha kuwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Simba utapigwa Uwanja wa Manungu, Turiani


Awali kulingana na taarifa iliyokuwa imetolewa na Mkuu wa mkoani wa Morogoro Mh Adam Malima, jitihada zilikuwa zikifanyika mchezo huo uhamishiwe uwanja wa Jamhuri


Mchezo utapigwa leo Alhamisi, August 17 majira ya saa 10 jioni


Simba itakwenda huko kwenye mashamba ya miwa ikiwa na kumbukumbu ya ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo wa mwisho uliopigwa msimu uliopita


Jean Baleke alifunga hat-trik na kuondoka na mpira katika mchezo huo ambao Simba ilitumia dakika 45 tu kuiangamiza Mtibwa


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally ametamba kuwa msimu huu watahakikisha wanaondoka na alama tatu katika kila mchezo


"Tunahitaji alama tatu kwenye kila mchezo ili tutimize malengo yetu ya kutwaa ubingwa mapema," alisema


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 10:00 Jioni  pia mechi hii itakuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua Bofya hapa Sasa kudownload


KIKOSI cha Simba SC kinachoanza dhidi ya Mtibwa Sugar leo tarehe 17 August 2023, mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara (NBC Premier League 2023/2024).


KIKOSI Cha Simba vs Mtibwa Sugar Leo

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post