Kikosi cha Simba vs Dodoma Jiji Leo 20 August 2023

LIVE Simba vs Dodoma Jiji Leo 20 August 2023, NIJUZE TV APP itakuletea LIVE Kiganjani Mwako mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Kati ya Simba SC dhidi ya Dodoma Jiji FC, Simba vs Dodoma Jiji fc, Simba SC vs Dodoma Jiji LIVE,LIVE Simba vs Dodoma Jiji FC Leo 10 August 2023,Simba vs Dodoma Jiji Leo 20 August 2023 Ligi Kuu ya NBC 2023,LIVE SIMBA vs Dodoma Jiji FC,Simba vs Dodoma Jiji FC Live Leo,Simbasc vs Dodoma Jiji fc Leo,LIVE Simba dhidi ya Dodoma Jiji fc leo, Simba sc vs SDodoma Jiji LIVE leo.

Leo Jumapili, August 20 katika uwanja wa Uhuru, kikosi cha Simba kitashuka dimbani kumenyana na Dodoma Jiji katika mchezo wa ligi kuu ya NBC, mzunguuko wa pili

   

  1. Ally Salim
  2. Shomari Kapombe
  3. Mohammed Hussein
  4. Che MALONE
  5. Kennedy Juma
  6. Fabrice Ngoma
  7. Mzamiru Yassin
  8. Saido
  9. Jean Baleke
  10. Essomba Onana
  11. Clatous Chama

 

SUBS

Hussein Abel

Israel Mwenda

Hussein Kazi

Abdallah Hamis

Sadio Kanoute

Luis Micquisson

Kibu Denis

John Bocco

Moses Phiri


Mchezo huo utapigwa saa 10 jioni Simba ikitumia uwanja wa Uhuru katika mechi zake wakati huu uwanja wa Benjamin Mkapa ukiwa umefungwa kwa ajili ya ukarabati.

Mechi itakuwa live kwenye app yetu kama bado hujaipakua BOFYA HAPA


Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post