Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
JKT Queens ilikata tiketi ya kwenda fainali baada ya kuichapa Buja Queens ya Burundi mabao 3-1 na kuendeleza rekodi yao nzuri katika michuano hiyo iliyofanyika Uganda huku C.B.E ikitinga fainali kwa kuichapa Vihiga Queens ya Kenya mabao 2-1
Hii inakuwa mara ya kwanza kwa JKT Queens kushiriki michuano hiyo tangu kuanzishwa mwaka 2021 lakini Tanzania ikiwa mzoefu baada ya mwaka jana Simba Queens kubeba ubingwa huo kwa kuichapa She Cooperate ya Uganda bao 1-0 kwenye fainali
Post a Comment