JKT Queens mabingwa wapya CECAFA

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Timu ya JKT Queens imeibuka mabingwa wapya wa Afrika Mashariki na Kati na kufuzu Ligi ya Mabingwa Afrika kwa wanawake baada ya kuichapa CBE ya Ethiopia


JKT Queens wameibuka na ushindi kwa mikwaju ya penati 5-4 baada ya matokeo ya suluhu ya bila kufungana


JKT Queens wanakuwa timu ya pili kutoka Tanzania kutwaa ubingwa huo ambao msimu uliopita ulichukuliwa na Simba Queens

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post