Chama, Inonga, Miquissone waitwa timu za Taifa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Kiungo Clatous Chama, winga Luis Miquissone na beki Hennock Inonga ni miongoni mwa wachezaji walioitwa timu za Taifa kwa ajili ya mechi za kuwania kufuzu Afcon 2023


Chama ni miongoni mwa wachezaji 27 walioitwa na kocha Avan Grant wa Zambia kwa ajili ya mchezo dhidi ya Comoro utakaopigwa Septemba 09


Licha ya kuwa majeruhi Inonga amejumuishwa kwenye kikosi cha DR Congo ambacho kitachuana na Sudan Septemba 09 na Afrika Kusini Septemba 12


Miquissone amejumuishwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Msumbiji ambacho kitacheza na Benin Septemba 09

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post