Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Josko Gvardiol amesaini mkataba wa miaka mitano hadi Juni 2028, na anakuwa beki ghali zaidi Duniani.
Akizungumza mara baada ya kutambulishwa Josko amesema;
"Nimekuwa nikitamani siku moja kucheza Uingereza... mtu yeyote ambaye aliiona Man City ikicheza msimu uliopita anajua ni timu bora zaidi duniani."
Post a Comment