Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Kasongo amesema ratiba ya mechi za Kimataifa imepelekea kuonekana timu nyingine hazichezi muda mrefu
"Katika misimu miwili tumefanya kazi kubwa ya kuboresha ratiba ili kupunguza viporo.Tunafahamu huko nyuma malalamiko yalikuwa mengi kuhusu viporo"
"Zamani tulikuwa na timu moja au mbili zinazoshiriki mashindano ya CAF (Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho) lakini sasa tuna timu nne"
"Hivyo tunalazimika kusimamisha ratiba kwa timu zote kusubiri kukamilika kwa ratiba ya mechi za CAF. Utaona kwenye ratiba baadhi ya mechi hazijapangiwa tarehe kwa sababu tunasubiri kuthibithibisha ratiba ya mechi za CAF," alisema Kasongo
Post a Comment