Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Aliyekuwa winga wa Yanga SC, Bernard Morrison, anadaiwa huwenda akaungana na aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi katika timu ya AS FAR Rabat nchini Morocco.
Taarifa zinaeleza Morrison ambaye alitajwa kuwa huwenda atatua Singida FG, kwa sasa yupo Morocco na huwenda akakamilisha usajili FAR Rabat.
Kama dili hilo litakamilika basi Morrison atacheza Klabu Bingwa Afrika badala ya Shirikisho Afrika ambayo Singida watashiriki msimu ujao.
Post a Comment