Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeondoshwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-1 dhidi ya miamba ya Angola, Primeiro de Agosto.
De Agosto walishinda 1-0 kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza kabla ya kutoka sare ya 1-1 kwenye mchezo wa marudiano
De Agosto watachuana na Al Hilal Omdurman ya Sudan kwenye raundi inayofuata.
Safari hii hakuna kushuka kwenda Shirikisho hivyo AS Vita wanakwenda nyumbani wakajipange kwa ajili ya msimu ujao.
Post a Comment