Arsenal wathibitisha kumuuza Folarin Balogun

 Folarin Balogun 1140x640

klabu ya Arsenal imethibitisha kumuaga mshambuliaji wake Folarin Balogun tayari kwenda As Monaco ya Ufaransa,

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA

klabu ya Arsenal imethibitisha kumuaga mshambuliaji wake Folarin Balogun tayari kwenda As Monaco ya Ufaransa, Balogun amejiunga na Monaco kwa dau la €40m na Amesaini mkataba wa miaka mitano (5) kuitumikia klabu hiyo.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post