Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mchezo wa mkondo wa pili hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Power Dynamos ya Zambia dhidi ya African Stars ya Namibia unapigwa leo huko Zambia
African Stars walishinda mabao 2-1 katika mchezo wa kwanza lakini Power Dynamos wanaweza kupindua matokeo leo wakihitaji ushindi wa bao 1-0 tu nyumbani
Timu itakayoshinda na kuvuka hatua hii ya awali itachuana na Simba kwenye mchezo wa raundi ya kwanza
Mnyama ataanzia ugenini iwe Namibia au Zambia na kisha kumalizia nyumbani katika uwanja wa Benjamin Mkapa/Azam Complex
Mchezo wa raundi ya kwanza utapigwa Septemba 15 na mchezo wa marudiano kupigwa Septemba 29
Post a Comment