Klabu ya Simba leo imemtambulisha mkali wa Bongo Fleva Ali Kiba maarufu 'Mfalme' kuwa miongoni mwa watumbuizaji katika Tamasha la SIMBA DAY litakalofanyika August 06 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Alikiba kukiwasha Simba Day
byReporter 2
-
0

Post a Comment