Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Yanga imethibitisha kumtoa Bryson kwenda JKT Tanzania kwa mkopo wa mwaka mmoja
Bryson alikuwa bado na mkataba wa mwaka mmoja na Yanga
Katika dirisha hili la usajili Yanga ilimsajili Nickson Kibabage ambaye anaweza kutumika kama beki wa kushoto au winga
Ujio wa Kibabage ni wazi umeilazimu Yanga kumtoa Bryson kwenda kupata changamoto mpya
Post a Comment