Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa klabu ya Yanga zimesema kuwa mpaka sasa kuna majina mawili mezani ya Wachezaji wazawa, Simon Msuva na George Mpole.
Huku Jina la Simon Msuva likipewa kipaumbele zaidi,
Mazungumzo Upande wa Simon Msuva yanaendelea na kama watafikia anachohitaji basi anaweza kupewa Jezi namba 6.
Huku Mpole nae yupo Nchini akisaka klabu ya kuitumikia japo kwa msimu mmoja ama zaidi kama mazungumzo yataenda sawa.
Post a Comment