Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Tetesi zinasambaa zikiitaja Klabu ya Yanga SC wapo kwenye mazungumzo ya juu ya kutaka kumsajili mshambuliaji wa FC Conan Younde, Emmanuel Mahop (28) kabla ya msimu ujao.
Miguel Gamondi anamfahamu vyema mchezaji huyo wa Kimataifa wa Cameroon na anatamani kufanya kazi naye kila mara.
Makubaliano ya mdomo yaliyofikiwa, ofa ya mkataba inayotarajia kuwasilishwa ilitarajiwa kufikiwa jana usiku na Mshambuliaji huyo anatazamiwa kuchukua nafasi ya Mayele.
Usajili wa Straika huyo ndio unaotazamiwa kuwa usajili wa mwisho kwa Yanga msimu dirisha hili.
Post a Comment