Yanga kuanza na Asas Fc ya Djibout ligi ya Mabingwa

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Droo ya hatua ya awali na raundi ya kwanza ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika Misri leo


Mabingwa wa soka Tanzania Bara Yanga wataanza hatua ya awali kwa kuwakabili Asas Fc ya Djibout mchezo wa kwanza ukitarajiwa kupigwa ugenini


Kama Yanga itafanikiwa kuvuka hatua ya awali, raundi ya kwanza itakutana na mshindi wa mchezo kati ya AS Otoho (Congo) dhidi ya El Merrikh (Sudan)


Yanga itaanzia ugenini katika hatua ya awali na raundi ya kwanza ambapo kama itafanikiwa kushinda itatinga hatua ya makundi

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post