Wiki ya Mwananchi ni Julai 22

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Rasmi klabu ya Yanga imetangaza tukio kubwa la Wiki ya Mwananchi litafanyika Julai 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam


Yawezekana Wananchi hawakutarajia burudani hii kuwajia mapema lakini ni wazi ni kutokana na muingiliano wa ratiba ambao mwezi August mechi za Ngao ya Jamii zitapigwa mapema na pengine kufuatiwa na mechi za hatua ya awali ligi ya mabingwa barani Afrika kabla ya Ligi Kuu ya NBC kuanza


Kauli mbiu ya Wiki ya Wananchi mwaka huu ni HII IMEENDA...!


Klabu ya Kaizer Chiefs imetajwa kualikwa kunogesha Tamasha hilo kubwa zaidi la soka katika ukanda wa Afrika Mashariki

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post