Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya FC West Armernia inayoshiriki Ligi Daraja la kwanza Nchini Armenia imekamilisha Usajili Nyota watatu kutoka Tanzania ambao ni Yusuph Athuman kutoka Yanga, Erick Mwijage kutoka Kagera na Abal Kassim kutoka Ruvu Shooting. Kila la heri kwa nyota hao wa Tanzania.
Post a Comment