Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Shiikisho la Soka Barani Afrika (CAF) linatarajia kupanga mechi za awali za mtoano za mashindano ya Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC) msimu wa 2023/23 keshokutwa Jumanne, Julai 25, 2023 tayari kwa kuanzia michuano hiyo mnamo Agosti mwaka huu.
Tanzania itawakilishwa na timu nne ambapo Simba SC na Yanga watacheza Kombe la Mabingwa wakati Azam FC na Singida Fontain Gate wakicheza Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Timu zote zitakazoshiriki michuano hiyo ni hizi;
Post a Comment