Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Taarifa za kuaminika kutoka katika Klabu ya Simba zinasema Kipa mpya wa klabu hiyo Luis Jefferson kutoka Brazil amepata majeraha akiwa mazoezini.
Simba imepanga kuachana nae mara moja na kusaka kipa mpya mapema Kwa kumlipa fidia kwani majeraha aliyoyapata yatamuweka nje ya uwanja kwa muda mrefu.
Jefferson amesajiliwa na Simba katika dirisha hili na bado hajafanikiwa kucheza mchezo wowote akiwa katika jezi ya Simba SC.
Je, ni kweli amepata majeraha au ni lile sakata la kuwa kanuni hazimruhusu kucheza Ligi Kuu?
Post a Comment