Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imefikiria kumsajili Mlinda mlango David De Gea ambaye mkataba wake na Mashetani wekundu wa Manchester umefikia ukomo mwishoni mwa mwezi Juni.
Klabu ya Al Nassr ya Saudi Arabia imefikiria kumsajili Mlinda mlango David De Gea ambaye mkataba wake na Mashetani wekundu wa Manchester umefikia ukomo mwishoni mwa mwezi Juni. De Gea (32) raia wa Uhispania huenda akaungana na mchezaji mwenzake wa zamani wa Manchester United, Cristiano Ronaldo anayekipiga klabuni hapo.
Post a Comment