TANZIA: Mwamuzi wa Ligi Kuu afariki dunia

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Mwamuzi wa Mpira wa Miguu Sadrudin Faraji afariki Dunia. Taarifa ya kifo cha mwamuzi huyo imetolewa na Bodi ya Ligi Kuu pasipo kufafanua chanzo cha kifo chake.


Taarifa hiyo imetolewa jana Julai 28.


Mwenyezi mungu ailaze pema peponi roho ya Marehemu.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post