Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Mlinzi wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuwatumikia Wekundu hao wa Msimbazi
Kapombe ni miongoni mwa wachezaji ambao mikataba yao ilimalizika mwishoni mwa msimu uliopita ambapo benchi la ufundi lilipendekeza beki huyo mahiri zaidi upande wa kulia nchini aongezwe mkataba
Kapombe amekuwa sehemu ya kikosi cha Simba tangu mwaka 2017 akiitumikia Simba kwa awamu mbili tofauti
Hii ni taarifa njema kwa Wanachama na Mashabiki wa Simba ambao wanachohitaji msimu ujao ni kikosi imara ambacho kitashinda mataji
Simba imefanikiwa kuwabakisha wachezaji wake wote muhimu na kuongeza nyota wengine mahiri katika dirisha hili la usajili
Post a Comment