Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Manula mwenye majeraha yuko nje kwa muda wa miezi minne sasa ameanza mazoezi mepesi tangu alivyoumia katika pambano la Simba SC dhidi ya Ihefu.
Katika ukurasa rasmi wa Manula ameweka video yake akifanya mazoezi huku akiwa amevaa jezi ya timu ya taifa ya Cameroon.
Manula ameweka picha yuko Gym huku akiandika ujumbe unaosomeka “Safari ya kurejea kiwanjani imeanza“ amesema Manula.
Post a Comment