Simba yapewa African Star, Power Dynamos CAF CL

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Droo ya mechi za kuwania kutinga makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika imefanyika huko Misri leo


Simba ikiwa miongoni mwa timu nane zinazocheza African Football, League haitacheza hatua ya awali


Simba itashuka dimbani kwenye raundi ya kwanza kuchuana na mshindi wa mchezo kati ya African Star ya Namibia dhidi ya Power Dynamos ya Zambia


Kama Power Dynamos itafanikiwa kuvuka hatua ya awali, maana yake ni kuwa itacheza mechi tatu dhidi ya Simba


Simba imeikaribisha Power Dynamos kwenye SIMBA DAY itakayofanyika August 06 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post