Simba yapanda viwango CAF - EDUSPORTSTZ

Latest

Simba yapanda viwango CAF

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Simba imepanda kwa nafasi mbili kwenye viwango vya ubora Shirikisho la soka barani Afrika (CAF)

Msimu uliopita Simba ilikuwa nafasi ya tisa sasa imesogea mpaka nafasi ya saba kuelekea msimu ujao

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema  ina maana Simba itakuwa kwenye port 2 katika droo ya hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

 "Katika draw ya hatua ya makundi ya ligi ya mabingwa Afrika, Simba tutawekwa kwenye Port 2 ambayo inahusisha timu kuanzia nafasi ya tano mpaka ya nane"

"Port A itakua na Al Ahly, Mamelod Wydad na Esparance. Port 2 ndo tutakua Simba na wakubwa wenzetu watatu"

"Brand yetu inazidi kupaaa na Malengo yetu ni kuingia kwenye Port ya kwanza siku chache zijazo," alindika Ahmed kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii



Download our APP from Google Playstore using the link here>>>

Join Our Telegram Channel for Daily Updates CLICK HERE

No comments:

Post a Comment

Edusportstz