Simba yamsajili Abdallah Hamisi

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa kiungo wa kati, Abdallah Hamisi Riziki (25) raia wa Tanzania kwa kandarasi ya miaka miwili akiwa Mchezaji huru.


Abdallah amewahi pia kuhudumu katika Vilabu vya Muhoroni FC, SoNy Sugar, Bandari FC zote za Kenya na Opara United ya Botswana.


Abdallah ndiye anatajwa kuwa mrithi wa Jonas Mkude aliyetimkia Yanga baada ya kumaliza mkataba wake na Simba aliyoitumikia kwa miaka 13.

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post