Simba wamchomoa mmoja kutoka Azam fc

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Aliyekuwa Kocha wa magolikipa Azam Fc, Daniel Cadena ametua Simba kuwa Kocha mpya wa magolikipa


Simba imethibtisha ujio wa Cadena ambaye ni Kocha mwenye leseni ya UEFA


Ni katika mkakati wa Simba kuboresha benchi la ufundi baada ya kuwaondoa baadhi ya makocha mwezi uliopita

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post