Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally, leo Julai 27, 2023 ametoa kauli hiyo alipokuwa akitoa taarifa ya hali ya wachezaji waliopo kambini huko nchini Uturuki.
Ahmed alisema, uongozi wa juu wa Simba unafikiria upya uamuzi wao wa kucheza na Power Dynamos kwani waliwatangaza kabla ya Droo ya Michuano hiyo mikubwa kutangazwa na ilipotangazwa, wamejikuta kwenye nafasi ya kuweza kukutana nao.
"Viongozi wanaangalia faida na hasara ya kuendelea na uamuzi wa kucheza nao kisha tutatangaza hivi karibuni kama tutaendelea nao au vinginevyo," alisema Ahmed.
Post a Comment