Simba kutambulisha mchezaji Mpya leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Leo saa 7 mchana Simba inashusha chuma kingine ukiwa ni usajili wa pili kutangazwa kwenye dirisha hili


Ni mwendo wa kushusha chuma kimoja baada ya kingine mpaka siku ambayo Simba itaondoka nchini kuelekea Uturuki kwenye pre-season


Usajili wa Simba wakati huu umezingatia mahitaji ya klabu kumaliza changamoto zilizojitokeza katika msimu uliopita


Hivyo kila mchezaji ambaye Simba inamshusha jua ameletwa kwa ajili ya kazi maalum


Simba sasa ina mtu wa scout ambaye anafanya kazi na kamati maalum ya usajili iliyoundwa ili kuhakikisha wachezaji wanaopendekezwa wanakidhi vigezo

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post