Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA
Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA
Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA
Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wanatarajia kukipiga na mabingwa wa Ligi Kuu ya Zambia, Power Dynamos FC.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Julai 25, 2023, Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally alisema, wanacheza na Power Dynamos kwani ni mabingwa ambao watashiriki mashindano ya Klabu Bingwa Afrika.
"Wale ni mabingwa wa Ligi Kuu ambao watacheza Ligi ya Mabingwa Afrika hivyo ni kipimo vizuri kwetu," alisema Ahmed.
Ahmed alisema, kiingilio cha chini siku hiyo itakuwa shilingi elfu tano kwa eneo la mzunguko.
Post a Comment