Simba kucheza mechi mbili za kirafiki leo

Pata 50,000 BURE Kila Siku Bonyeza HAPA


Ajira Mpya zilizotangazwa leo Bonyeza HAPA


Msimamo wa ligi kuu Tanzania Bonyaza HAPA


 Ikiwa katika wiki ya mwisho ya pre-season huko Uturuki, klabu ya Simba leo inatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki


Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema mchezo wa kwanza utapigwa saa 5 asubuhi na mchezo wa pili kupigwa saa 10 jioni kwa saa za Uturuki


"Leo tunacheza mechi mbili za kirafiki dhidi ya timu ya ligi kuu Turan Tovuz PFK kutoka Uzbekstan. Mchezo wa kwanza utapigwa saa 5 asubuhi na mchezo wa pili kupigwa saa 10 jioni dhidi ya timu hiyohiyo"


"Kocha Robertinho amezihitaji mechi hizi ili kuwaona wachezaji wetu wote ambao wako kambini Uturuki," alisema Ahmed

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post